UPDATES: VIDEO Wanachosema ACT-Wazalendo kuhusu Mchanga wa dhahabu
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimeandaa mjadala wa kitaifa kujadili na kuichambua ripoti ya Tume ya Prof. Mruma na kutoka mwongozo wa kisera juu ya usimamizi wa rasilimali madini. Bonyeza play hapa chini kutazama
No comments:
Post a Comment