Sunday, May 21, 2017

UPDATES UCHAGUZI WA IRAN: Waziri mkuu Shinzo Abe Ampongeza Rais Rouhani Baada ya kuibuka mshindi


Waziri Mkuu wa Japani, Shinzo Abe, ametuma ujumbe wa pongezi kwa Rais wa Iran, Hassan Rouhani, ambaye juzi Ijumaa alichaguliwa tena katika uchaguzi wa rais chini humo.

  • Katika ujumbe wake, Waziri Mkuu Abe alisema ushindi wa Rouhani unaonesha kuwa watu wa nchi hiyo wana imani na sera yake kuhusiana na ushirikiano wa kimataifa.

No comments:

Post a Comment