Sunday, May 7, 2017

UPDATES: Soka, Ulikosa hii? HAYA NDIO MAMBO 7 ALIYOFANYA RONALDO KWENYE ULIMWENGU WA SOKA MPAKA SASA, DIZZIM ONLINE


 Hizi ndio baadhi ya rekodi alizoziweka Cristiano Ronaldo kwenye ulimwengu wa Soka

1.Anakuwa Mchezaji Wa kwanza kufunga magoli mengi kwenye michuano hii ya uefa akifiksha magoli 103,
2.Lakini sio kuwa na magoli mengi tu,magoli yote yaliyofungwa na klabu ya Atletico Madrid katika Michuano Hii Ya uefa hayafikiiiIdadi ya magoli aliyoyafunga Ronaldo peke yake, akifunga magoli 100 huku Ronaldo akifunga magoli 103..
3.Ronaldo anakuwa Mchezaji wa kwanza kufunga magoli mengi kwanzia hatua ya mtoano hadi fainali kwenye michuano hii ya Uefa akifunga magoli 50 hadi Sasa…
4.Ronaldo anakuwa mchezaji wa Kwanza kufunga Hat Trick mbili mfululizo katika mashindano haya akifanya hivyo dhidi Ya Bayern Munich wiki mbili zilizopita na dhidi ya Atletico Madrid
5.Ronaldo anakuwa Mchezaji wa kwanza kutoa assist nyingi za magoli ndani ya UCL akitoa assist 30 hadi Sasa..
6.Ronaldo anakuwa mchezaji wa kwanza Kuifunga Atletico Madrid Hattrik 2 Katika Msimu mmoja kwenye La Liga na UCL
7.Ronaldo anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli mengi nyumbani na ugenini kwenye UCL,akifunga magoli 54 nyumbani na magoli 47 ugenini hadi sasa

No comments:

Post a Comment