Wednesday, May 31, 2017

UPDATES: Rais JPM ametuma salamu za Rambi Rambi kwa familia ya Marehemu Ndesamburo

Rais Magufuli amesema alifanya 
Kazi na Marehemu Ndesamburo walipokuwa wabunge la Jamuhuri ya muungano Wa Tanzania. 
Rais JPM amewataka Familia , ndugu na wote walioguswa na msiba huo kuwa na uvumilivu na moyo wa subira kipindi hiki kigumu.


No comments:

Post a Comment