Tuesday, May 30, 2017

UPDATES: Nimekusogeze Maendeleo ya hali ya Afya ya Watoto Sadia, Wilson, na Doreen majeruhi ajali ya Lucky Vincent toka Marekani wakati huu

Nimekuaogezea taarifa ya wototo Wa Tanzania ambao walinusurika kwenye ajali ya Lucky Vicent nakupwlekwa Marekani kwa matibabu .

Ambapo taarifa za jioni hii zinaeleza kuwa hadi wakati huu watoto hao wana maendeleo mazuri kiafya. 

Taarifa aliyotoa Mh. Lazaro Nyalandu (MB) imesema watoto hao hadi sasa wanaendelea vizuri  ambapo watoto Sadia na Wilson kwa sasa wanatembea na mtoto mwenzao Doreen bado yupo kwenye Wodi ya watoto japo naye anaendelea vizuri. 



Endelea kubaki nami ikiwa ni pamoja na kwenye Mitandao ya kijamii Facebook ,Twitter, Instagram,  kote kwa jina la Habari Tanzania Grace Macha  bila kusahau kutazama Latest Videos zote katika V.O.A TV YouTube.

No comments:

Post a Comment