UPDATES: Kama ulipitwa na hii sasa nimekusogezea tena! Ni kijana MRwanda alijitajirisha kupitia Facebook

Ni kijana Hassan    Habiyambere    Mrwanda ambaye alibuni kujaribu kuuza japo gari moja akiwa nchini Rwanda hatimaye akafanikiwa.
"Niliona kama tunaweza kutumia Facebook kuchati na marafiki pia basis inawezekana ku Fanya biashara Facebook , nikapost picha moja ya jamaa aliyekuwa anauza Gari, nikampata nteja ntandaoni nikamwambia aje akaja tukafabya biashara. "

"Wakati watu wengi hutumia mitandao ya kijamii kwa kupiga soga na jamaa na marafiki zao,wengine hujaribu bahati zao kimaisha kwa kutumia mitandao hiyo.
Nchini Rwanda, kijana mmoja Hassan Habiyambere anasema kwamba ujumbe mmoja tu katika Facebook ulimfungulia milango ya utajiri.
Sasa ni miongoni mwa wajasiriamali wenye uwezo wa kutoa ajira kwa watu wengine." Chanzo cha Habari hii.

0 Comments:

Post a Comment