Thursday, May 25, 2017

UPDATES: CHADEMA kufanya kikao Maalum Makao makuu ya nchi Dodoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kufanya kikao  cha kamati kuu ya chama hicho kikao ambacho kinatarajiwa kufanyika hapo kesho makao makuu ya nchi mjini Dodoma.

Kamati hiyo itajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mwenendo wa siasa nchini ikiwa ni pamoja na masuala mengine mbalimbali ya maendeleo.

Kikao hicho kitahudhuriwa na M/Kiti wa chama hicho Taifa Mh. Freeman Mbowe , Wajumbe wa kamati kuu na viongozi wengine wa chama hicho.

No comments:

Post a Comment