Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kufanya kikao Maalum kitaifa cha kujadili bajeti ya chama hicho , mwenendo wa siasa nchini , pamoja na hali ya uchumi kwa kuchukua taarifa za nchi nzima .
Mkutano unaotarajiwa kufanyika jumamosi ya tarehe 27 keshokutwa utafanyika makao makuu ya nchi mjini Dodona.
No comments:
Post a Comment