Tuesday, May 9, 2017

PICHA: Tembo watinga UDOM

Tembo wanne leo wametinga UDOM na inaaminika ni mapito yao au shoroba na tembo husifika kwa kutunza kumbukumbu kuwa njia aliyopita miaka 50 iliyopita anaweza kurudia palepale leo hii. Hii imetokea leo tunaendelea kuwadhibiti muda huu wasilete madhara kwa wananchi.





No comments:

Post a Comment