Makamu w a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo Mhe. Makamu wa Rais ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani kuaga miili ya wanafunzi,na waalimu waliofariki kwenye ajali ya gari. |
No comments:
Post a Comment