MAAJABU: Greda imeshindwa kukata mti kupisha upanuzi wa barabara Mwanza, Mti huo unatoa sauti ya Binadamu Mara unapokatwa


Wananchi wakiangalia mti ambao umeshindikana kung'olewa na greda la nyanza roads kupisha upanuzi wa barabara ya Magufuli ya Pasiansi Mwanza. Mti huo ukikatwa unatoa sauti ya binadamu

0 Comments:

Post a Comment