Kombora lingine la Korea kaskazini , Hali ya wasiwasi yatanda

Ofisi ya kijeshi nchini Korea Kusini inasema kuwa kombora hilo lilirushwa siku ya Jumapili jioni saa za Korea.
Jaribio hilo linafanyika wiki moja baada ya Korea Kaskazini kulifanyia majaribio kombora lingine ambalo inadai kuwa ni jipya na ambalo lina uwezo wa kubeba silaha kubwa ya nuklia.
Jumatatu iliyopita baraza la usalama la Umoja wa Mataifa liliitaka Korea Kaskazinia kusitisha majaribio kama hayo.

0 Comments:

Post a Comment