Mh. Philemon Ndesamburo |
PLAY VIDEO HAPA CHINI KUTOKA V.O.A TV
Katika Operations hiyo ya jeshi la polisi walikamatwa pia Viongozi wa dini, baadhi ya wamiliki wa shule binafsi na uongozi wao TAMONGSCO pamoja na Waandishi wa Habari.
Mbunge huyo wa zamani wa Moshi Mjini Amewapa pole Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro,viongozi wa dini pamoja na wengine waliokamatwa katika tukio la utoaji rambi rambi,amesema nayeye atafika Arusha kuwapa pole wafiwa sambamba na kutoa rambi rambi yake moja kwa moja kwa wafiwa hao.
No comments:
Post a Comment