EXCLUSIVE: Meya wa jiji la Arusha pamoja na viongozi wa dini waachiwa kwa dhamana

Mstahiki Meya,viongozi wa dini,viongozi wa shirikisho la umoja wenye shule binafsi pamoja na wengine wote waliokamatwa kwenye tukio la kutoa rambirambi kwa familia za waliofiwa na watoto wameachiwa kwa dhamana asubuhi ya leo.

0 Comments:

Post a Comment