DIMBANI: Ni Yanga tena Leo Wapo Arusha kwa mechi ya kirafiki

Timu Ya Dar es salaam Young Africans imetinga jijini Arusha kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Arusha FC. Mechi ambayo itachezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Endelea kukaa nani nitakujuza updates zote kutoka uwanjani Stadium.

0 Comments:

Post a Comment