CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUFUATIA AJALI ILIYOTOKEA LEO KARATU-ARUSHA NA KUSABABISHA VIFO VYA WANAFUNZI 33 PAMOJA NA WAALIMU 4.
Tumepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa za ajali mbaya Iliyotokea Leo tarehe 6 Mei,2017 Mkoani Arusha, Wilaya ya Karatu na kusababisha vifo vya wanafunzi 33 (watoto wa kike 16 na watoto wa kiume 17) waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent ya Mkoani Arusha.
Aidha ajali hiyo imepoteza maisha ya watu wazima 4 ambao inasemekana ni waalimu wa Shule ya Lucky Vicent (pamoja na dereva wa gari walilokuwa wakisafiria) na kusababisha Majeruhi watoto 4 na mtu mzima 1.
Ajali hii imetokea wakati wanafunzi hawa wakiwa safarini kutokea Arusha wakienda Karatu katika ziara ya Mafunzo.
Kwa majonzi makubwa tunatoa salamu za pole kwa wazazi, wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent, uongozi wa Shule hiyo pamoja na wananchi wote wa Tanzania kwa msiba huu mkubwa na wenye kutia simanzi na huzuni kubwa.
CHADEMA tutakuwa pamoja na familia za Marehemu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo , tunawataka wanachama na watanzania wote bila kujali imani zetu tuwakumbuke wafiwa katika Sala /Dua ili Mwenyezi Mungu awatie ujasiri wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
Aidha tunalitaka jeshi la polisi wafanye uchunguzi wa kina juu ya chanzo cha ajali hii mbaya ili matokeo ya uchunguzi huo yatumike katika kuzuia ajali nyingine kama hii kutokea siku zijazo.
Hakika taifa limepoteza watoto wake na vijana wa Kesho ambao wangelitumikia taifa letu siku zijazo.
Imetolewa Leo tarehe 6 Mei,2017 na John Mrema - Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje .
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI 06/05/2017
1.Mteage Amos
2.Justine Alex
3.Irine Kishari
4. Gladness Godluck
5. Praise Roland
6. Shadrack Biketh
7. Junior Mwashuya
8. Aisha Saidi
9. Oumligh Heri Rashid
10. Gema Gerad
11. Rebecca Daudi
12. Haggai Lucas
13. Sada Ally
14. Ruth Ndemna
15. Musa Cassim
16.Neema Eliwahi
17. Neema Martin
18.Greyson Robson Massawe
19. Witness Moses
20.Hevenight Enock
21.Iar Tarimo
22.Anold Alex
23.Naomi Hosea
24.Rukia Altani
25.Paulo Thomas
26.Eliapendo Eliudi
27.Marion Mrema
28.Rehema Msuya
29.Sabrina Said
30.Prisa Charles

Mwalimu Inocent Papiani aliyefariki kwenye ajali |

No comments:
Post a Comment