Ni Arusha tena mtu wangu ni huzuni juu ya huzuni baada ya lile la vifo 36 sasa taarifa zilizotufikia punde zinasema Mvua zinazo endelea kunyesha jijini arusha Imesababisha vifo kwa familia moja mkoani hapa.
Taarifa zinasema mvua zimeleta mvua hizo zimela maafa Arumeru upande wa Arusha baada ya familia moja kuangukiwa mti kwenye paa la nyumba. duru za habari zinasema waokoaji wametoa miili ya watu watatu na wameshapoteza maisha.
Inasemekana ni mama na watoto 2 baba wa familia ni mlinzi wa kampuni flan hivyo amefikaanyumbani asubuhi na kukutana na ajali hiyo.

VIDEO HII HAPA
No comments:
Post a Comment