Breaking News: Kutoka Central Police Arusha imeahirishwa agizo la Meya,Katibu TAMONGSCO, na viongozi wengine waliokamatwa wiki iliyopita ambao agizo hilo liliwataka kuripoti kituo cha polisi , wameahirishiwa Agizo hilo hadi ijumaa , Tunakuletea updates zaidi endelea kukaa nasi
BLOG HII ILIMTAFUTA MEYA KALISTI LAZARO NAKUSEMA " Ameripoti Central na taarifa aliyopewa ni kwamba wafike ijumaa "
No comments:
Post a Comment