Thursday, May 25, 2017

BREAKING NEWS: Ivan Afariki dunia Afrika kusini

Zari Mzazi mwenza wa Ivan amepost Instagram ujumbe huu
Baada ya taatifa za hivi karibuni ya kuumwa aliyekuwa mpenzi wake Zari The Boss Lady na Mzazi mwenzake, Breaking news iliyotufikia no kwamba Ivan Semwanga a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri huyo kijana amefariki dunia.

No comments:

Post a Comment