Monday, May 15, 2017

BREAKING NEWS: Hans Pope ameghairi kujiuzulu




Baada ya kuripotiwa taarifa za kujiuzulu kwa Hans Pope Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, leo Jumatatu May 15, 2017 ripoti mpya kutoka kwa Afisa Habari wa club hiyo Haji Manara kutoka kwenye Instagram yake ameandika kuwa kiongozi huyo amefuta uamuzi wake.
Kupitia Instagram Haji Manara ameandika >>> Rasmi Hanspope arejea kundini, afuta uamuzi wake wa kujiuzulu, na ndio maana fans wetu nawaomba mtulie, hakuna kitakachoharibika, ni upepo mbaya ulipita na sasa umetulia, Karibu tena kamanda Pope<<< –Manara Kutoka TZA. #Millardayo.com 

No comments:

Post a Comment