Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema watoto zaidi ya milioni 25 wenye umri kati ya miaka 6 hadi 15, ambao ni asilimia 22 ya watoto wa rika hilo kote duniani, wameacha shule kwenye maeneo yenye mapigano katika nchi 22, zikiongozwa na Sudan Kusini, Chad na Afghanistan. Ripoti ya UNICEF inasema, nchi hizo tatu pia zina idadi kubwa ya watoto wa kike ambao wameacha shule.
AGRISPARK YABAINI ASILIMIA 70 YA TAFITI NA VUMBUZI HAZIWASHIIKISHI WAKULIMA
TOKA MWANZO.
-
Na: Calvin Gwabara – Morogoro.
Utafiti wa awali uliofanywa kuangalia mbinu za ushirikishi za watafiti na
wakulima katika uvumbuzi na uhaulishaji wa Maa...
2 hours ago
0 Comments:
Post a Comment