Tuesday, April 25, 2017

EXCLUSIVE VIDEO: Azam TV, Mama huyu ni mlemavu na ni mwalimu anafundisha akiwa kitandani..


Toka millardayo.com Ajali imebadilisha maisha ya Joyce Kantande na kumfanya asalie kitandani lakini kwa ujasili wakujishughulisha hakukata tamaa na kwa sasa ni mwalimu kwa hapo hapo kitandani kwake na kwa mujibu wake alichukua uwamuzi wa kufungua darasa nyumbani kwake mara baada ya kupata ajali iliyomsababishia ulemavu wa miguu.
Bonyeza Play hapa chini kutazama video nimekuwekea…





No comments:

Post a Comment