Siku kadhaa tu baada ya ripoti za kuuawa askari polisi nane watu wanaosadikika kuwa majambazi Wilayani Kibiti, Pwani.Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule anayefahamika kwa jina la sanaa la Profesa Jay ameandika maneno yafuatayo katika akaunti yake ya Instagram.
“Nasaha Pevu ‘Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapasawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoav ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.’ Godbless Lema (MB), Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani.” – Professor Jay.
Mbunge wa Mikumi Mh. Joseph Haule A.k.a Profesa Jay |
“Nasaha Pevu ‘Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapasawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoav ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.’ Godbless Lema (MB), Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani.” – Professor Jay.
No comments:
Post a Comment