Mh.mwigulu nchemba amejiuzulu nafasi yake ya naibu katibu mkuu ndani ya chama ili kupisha agombee urais na akishindwa atarudia tena ikimpendeza mkiti.nafasi yake imechukuliwa na ndugu Rajab Luwavi.
No comments:
Post a Comment