BREAKING NEWZ
Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kupoteza maisha!
Vile vile inasemekana Nkurunzinza amerejea Burundi kwa usafiri wa helikopta leo alfajiri akitokea DSM, na kushuka ktk kijiji kilichoko mpakani mwa Tanzania na Burundi. Haieleweki ameelekea wapi baada ya kutoka ktk kijiji hicho! Ila mashuhuda wamesema msafara wa magari yapatayo kama sita ulikuja kumchukua kutokea katika kijiji hicho!!
Source. Reuters& France 24 english
Sent from Grace Macha
CPA.MKAMA: KUNA MAENDELEO MAKUBWA NA USTAWI MZURI KATIKA MIFUKO YA
UWEKEZAJI WA PAMOJA
-
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika kipindi cha
miaka mitano, kumekuwa na maendeleo makubwa na ustawi mzuri w...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment