Jisomee mwenyewe...Wakati wagonjwa pale Muhimbili, Ocean Road na hospitali nyingine nyingi wanataabika kupata matibabu na dawa kuadimika kwa sababu Serikali haijalipa fedha kama inavyotakiwa kwa MSD, kuna mabilioni yako wazi yanatakiwa kutumika kuokoa CCM na anguko la Katiba Mpya.Soma kwa makini uone fikra za watawala wetu zilipofikia. Wanasema kura ya HAPANA eti itakuwa ni aibu na tahayari kwa Serikali kwa sababu eti Katiba inayopendekezwa ni ya Serikali.
Nyaraka hii imenaswa na 'kumwagwa' hadharani na viongozi wakuu wa UKAWA, walipokutana na waandishi wa habari leo Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha CUF.
RC Queen Sendiga asogeza haki kwa wananchi, azindua kliniki za sheria bure
Manyara
-
*Na Mwandishi Wetu, Manyara.*
*MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amezindua rasmi kamati za
ushauri wa kisheria pamoja na kliniki za sheria b...
7 hours ago
0 Comments:
Post a Comment