Tuesday, March 11, 2014

OSCAR PISTORIUS ATAPIKA KIZIMBANI WAKATI DAKTARI AKITOA USHAHIDI



Mwanariadha Oscar Pistorius ametapika kizimbani wakati mtaalam aliyeufanyia uchunguzi mwili wa aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp akitoa maelezo ya kimichoro yanayoonyesha jinsi marehemu alivyoumia.

No comments:

Post a Comment