Sunday, March 2, 2014

Huku CCM Ikikataliwa, chadema yazidi kukubalika kwa wazee na vijana jimbo kalenga, wazi sasa Bi. Grace anasubiri kuapishwa

Bibi wa kabila la kimasai akibubujikwa machozi baada ya kushindwa kujizuia alipokuwa akimweleza namna wakwe na binti zake walivyo fanyiwa mambo ya kinyama kwenye operesheni tokomeza kulia ni Bi Grace mgombea ubunge jimbo la kalenga, Ikumbukwe kwenye operesheni hiyo akina mama walibakwa na kisha kuingiziwa chupa sehemu ya siri..Bibi huyo amesema jambo hilo lisiachwe na atakapoingia bungeni ahakikishe walewote waliohusika wadogo kwa wakubwa wanawajibishwa ipasavyo na waliofanyiwa vitendo hivyo serikali iwalipe..
 
Kampeni Meneja wa chadema jimbo la Kalenga Alphonce Mawazo akiongea na moja ya boma alipokuwa anafanya kampeni za nyumba kwa nyumba
Mgombea ubunge jimbo la Kalenga Bi Grace akivishwa mavazi ya kimila ya kabila la kimasai kama ishara ya kumtambua mpambanaji huyu...
Mgombea Ubunge bi Grace akisalimiana na vijana wa kimasai katika kampeni za mtu kwa mtu nyumba kwa nyumba
Mzee wa kimasai akiongea na mgombea wa ubunge jimbo la kalenga Bi Grace, Mzee huyu alimwambia aende kawapiganie asiwageuke akawa kama wabunge wengine waliopita...

No comments:

Post a Comment