Sunday, March 16, 2014

CCM hoi huko Kalenga, mbinu zao zinazidi kugundulika...

Moja ya vituo vya kupigia kura jimbo la kalenga 


Jimbo lililokuwa likiongozwa na waziri wa fedha
 Baadhi ya makada wa CCM waliokamatwa baada ya kugundulika wana honga wapiga kura
 Mzee huyu alisema amechoka na CCM katika maisha yake anamatumaini na chadema na ameipigia chadema...


 Baadhi ya vijana waliokamatwa wakiwa na kadi fake...

No comments:

Post a Comment