Ben Wa Saanane
1:Kitendo cha Wanahabari kupigwa
marufuku katika kikao cha bunge la
katiba jana ni cha kulaaniwa.Katika
Rasimu ya katiba mpya miongoni mwa
tunu Muhimu ni juu ya UWAZI na
UWAJIBIKAJI(TRANSPARENCY &
ACCOUNTABILITY).Sasa kabla hata
Rasimu haijaanza kujadiliwa tayari
bunge la katiba limeonyesha uadui
(hostility).Wanachi anatakiwa
kuhabarishwa,hakuna haja ya kuminya
uhuru wa vyombo vya habari katika
zama hizi hasa kwenye jambo nyeti
kama hili
2:Kuna tetesi kuwa leo yametolewa
Mapendekezo kuwa kuna Rasimu
Mbadala imeandaliwa na rasimu ya
sasa itatumika kuboresha rasimu
mbadala ndipo ipelekwe kwa wananchi
kwa kura ya maoni.
Ni nani aliyetoa kibali au mamlaka ya
kuunda rasimu mbadala? Ni nani alitoa
ruhusa ya kubadili Rasimu?Kulikua
kuna haja gani ya kuanzisha mchakato
wa katiba mpya na kutumia
mamilioniya hela kama hila na ujanja
ujanja unatumika kuanzia Ikulu hadi
kwa wajumbe?
3:Hili linaudhi na naweka msimamo
wangu very clear.Kwenye hili bunge la
katiba hakuna justification yoyote ya
kutaka Posho iongezwe kutoka shilingi
laki 3 kwa siku.Hoja kuwa maisha ni
magumu ni hoja dhaifu na yeyote
anayetoa hoja ya namna hiyo basi ni
mfano mbaya wa mtu aliyefilisika hoja
na kimaadili.Ni kiwango cha juu kabisa
cha kujitoa ufahamu.Maisha ni magumu
kwa wananchi wote.Nitamshangaa
mbunge wa bunge la jamhuri ya
muungano ambaye hajawahi kuongelea
kuhusu mfumuko wa bei hasa za
vyakula na kuibana serikali kudhibiti
mfumuko wa bei leo anajenga hoja ya kuongezewa posho kisa maishamagumu.Maisha ni magumu kwake mwenyewe zaidi ya wafanyakazi,madaktari,walimu na wakulima?
Nimesikitishwa kusikia kuwa Mwenyekiti wa Muda ameunda Tume kuhusu hilo kama vile ni jambo muhimu sana na la dharura kuliko vipaumbele vingine.Hivi mjumbe asiyetaka si aondoke akaendelee na shughuli nyingine?
Does Tanzanians know this?. What
kind of country is this?. Is this not
reason enough for people to be
protesting on every streets in the
country on daily basis. What is wrong with Tanzanians, how can this look
normal to anybody.?
This is just crazy. In a country where people can not afford 3 square meal, no power, no water, no good roads, schools are decaying, no good form of transportation to mention but a view. Are Tanzanians just plain
ROYAL FAMILY SEKONDARI GEITA YAANDIKA HISTORIA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2025
-
Shule ya Sekondari ya Royal Family iliyopo Manispaa ya Geita imeandika
historia mpya katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025
yaliyotangazwa rasmi ...
3 hours ago
0 Comments:
Post a Comment