MBUNGE WA VITI MAALUM, PAULINA GEKUL
MBUNGE WA VITI MAALUM, PAULINA GEKUL
Tarifa ya kushambuliwa na mkurugenzi wa halmashauri
na mkiti wa halmashauri Leo
Ndugu zangu wana babati Leo kulikuwa na Kikao cha kawaida cha mipango miji miongoni mwa mambo tuliyojadili ni orodha ya majina ya wananchi waliolipia mashamba Kule shamba la katanini,wakati wakikao hoja ilitolewa na mkurugenzi anayekaimu, Kuwa orodha hiyo imechakachuliwa ,Kikao kikaazimia Kuwa tuletewe orodha iliyotolewa wizara ya Ardhi ,chakushangaza mwenyekiti wa halmashauri bw Fara akajenga hoja Kuwa orodha hiyo ibaki halmashauri Kuwa Siri,na madiwani wote wa ccm waliafiki hivyo,nami nikajenga hoja kwa mujibu kanuni Kuwa kila Mjumbe kwa mujibu wa kanuni anatakiwa Kuwa na orodha hiyo.ndipo nilipowashinda kwa hoja japo niko peke yangu Kama Diwani na mbunge wa chadema ,Kikao kikaendelea hadi mwisho ,Kikao kilifungwa saa Tisa kasoro,alasiri ,Kikao Kilivyo ahirishwa mkurugenzi wa mji akanisogelea na kunitaka nimkabidhi kabrasha langu, ndipo akaninyanganya kwa Nguvu kabrasha nililonalo mikononi akidhani orodha ile ya majina ya wananchi iko hapo kumbe ilikuwa Kwenye pochi yangu alipogundua hivyo,akanirudia wakati Huo mwenyekiti wa halmashauri aliyeondoka Kikao Kilivyoahirishwa akasikia Kelele akarudi ukumbi ,ndipo alipomwamuru mwandishi wa vikao Vya halmashauri Bw Mangalili afunge mlango Nayeli akafanya hivyo,akawa mkiti wa halmashauri bw Fara akisaidiana na mkurugenzi wakanikaba Kabbali ,wakanichana blauzi yangu Kama inavyoonekana Kwenye picha ,nakukwapua pochi yangu Mithili ya wezi au vibaka wakasachi hiyo orodha ya majina ya wananchi na vitu vingine na fedha ambayo nimeziripoti polisi,wakatokomea navyo,,waka rusha pochi yangu chini,niliondoka pale na kauripoti polisi,na Jalada la mashtaka tayari nimelifungua nasubiri haki intendeke,Maswali ya kujiuliza,

Kwanza, ni
kwanini mkurugenzi, mwenyekiti wa halmashauri bwFara,na madiwani wake ambao ni
wajumbe wa Kikao hicho walitaka orodha hiyo iwe Siri wakati walijua
imechakachuliwa ?
Pili kuna taratibu
za kanuni za halmashauri zilivunjwa kwani Kikao hicho kilikuwa halali,na
nyaraka hizo zilikuwa za vikao husika na siku zote kwa mujibu kwa kanuni
tunapewa siku nne Kabla na baada ya Kikao kila Mjumbe a naondoka na kabrasha
lake ,kwanini Leo wanawazuia wajumbe wasiondoke nazo?
Tatu JE
mamlaka ya kunisachi mkoba wangu hususan wao wanaume na kunikaba na kunichania
blauzi kifuani yaani ,mkurugenzi na mkiti wa halmashauri wao wametoa wapi? Hata
hivyo mie ni mbunge na ninadiplomatic passport, hata Uwanja wa ndege tu sisachiwi,
JE wao wapo juu ya Sheria?
Mwisho ni dhahiri Kuwa mkurugenzi hajui wajibu wake
ye Kama mtendaji mkuu wa halmashauri,na madiwani wa ccm wakiongozwa na mkiti
wao wameshindwa kujibu hoja zangu ,hivyo wameanza kutumia mabavu.
Nawasilisha,
0 Comments:
Post a Comment