Wednesday, January 22, 2014

MBUNGE WA CHALINZE SAID RAMADHANI AFARIKI LEO

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)  amefariki  leo januari 20, 2014

Pole kwa wafiwa  RIP Mh…

No comments:

Post a Comment