Tuesday, January 28, 2014

MBOWE AFUNIKA NGARA

Mwenyekiti wa Taifa, CHADEMA, Freeman Mbowe akihutubia wakazi wa Ngara katika mkutano mkubwa wa M4C  Operesheni Pamoja Daima.

 Mamia ya wakazi wa Ngara waliojitokeza katika mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima uliohutubiwa na Freeman Mbowe.

No comments:

Post a Comment