MENEJA wa huduma kwa wateja wa Benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB Financial Fitness uliozinduliwa na benki hiyo kwa watoto wilayani humo.Mwanafunzi huyo anatoka shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same.
DKT. LAZARO BUNUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA PERAMIHO
-
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Dkt. Lazaro Komba Bunungu, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya
kugo...
1 hour ago

0 Comments:
Post a Comment