James Millya akisalimiana na bibi yake, Yeyaai Laisukula ambaye alililia kwa furaha ya kumuona mjukuu wake huyo
Millya , Lema na aliyekuwa diwani wa Sombetini kwa tiketi ya CCM ambaye hivi karibuni amejiunga Chadema, Alphonce Mawazo wakisubiri kuongea na wananchi wa Orkesumet
wananchi wa Orkesumet wakisikiliza mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya mwenge
Millya akiongea uwanjani Mwenge
zoezi la utoaji kadi za chadema
miongoni mwa vitu vilivyorejeshwa na waliokuwa wanaCCM
Wakiondoka kwenye viwanja hivyo kuelekea kwenye chopa
wakiagana na wananchi kabla ya kupanda chopa
Millya akihutubia Mererani
No comments:
Post a Comment