Mwanamama, Magreth Zziwa akiapa kuwa spika wa tatu wa EALA mara baada ya kuchaguliwa kuwa kwa kura 33 dhidi ya 12 za mpizani wake Dorah Byamkama, washindani hao wote wanatoka chama tawala nchini Uganda cha NRA
Spika Zziwa akisaini hati ya kiapo, anakuwa spika wa kwanza mwanamke tangu kuanzishwa kwa bunge hilo ambapo spika wa kwanza alitoka chini Tanzania, Abdulrahman Kinana akifuatiwa na yule ya Kenya aliyemaliza muda wake Abulirahin Abdu
0 Comments:
Post a Comment