OPERESHENI Vua Gamba Vaa Gwanda imenikiwa kuvua wanachama wa CCM 394 kutoka kata za Ngorongoro na enduleni ambao jumapili walijiunga Chadema akiwemo katibu wa UVCCM kata ya Enduleni, Cosmas Lakani.
Aliyekuwa katibu UVCCM Longido akitafsiri kwa kimaasai kile mwenyekiti wa CDM, Arusha, Samson Mwigamba alichoongea kwenye kata ya Ngorongoro.
wanakijiji wa kimba wakisubiri kadi zao za CDM ziandikwe majina
Afisa Mtendaji wa kata ya Ngorongoro, Beere akifuatilia mkutano huku akiwa amepata kilevi cha kutosha hivyo kuwa anapepesuka
mmoja kati ya wanakijiji akiamua kumsindikiza afisa mtendaji baada ya kilevi kumzidi nguvu
Mwenyekiti wa BAVICHA, mkoa wa Arusha, Ephata Nanyaro akiongea kwenye kata ya Endulen
Mwenyekiti wa BAWACHA mkoani Arusha, Cecillian Ndossi akizungumza kwenye mkutano huo

No comments:
Post a Comment