Mkuu wa Wilaya ya Longido, James Olle Millya akiwa na mke wake muda mfupi baada ya kula kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo
Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini, Mongela akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa ambapo alisema kuwa hakuja Arusha na Muujiza hivyo anahitaji ushirikiano na wananchi wote ili kuweza kufanikisha shughuli za maendeleo
No comments:
Post a Comment